MWANAFUNZI APEWA KICHAPO KIKALI BAADA YA KUMTONGOZA MWALIMU WAKE...

Mwanafunzi mmoja wa kidato cha Nne katika shule ya kutwa ya Sekondari Mataka, wilayani Tunduru huko Ruvuma, Mussa Habibu amenusurika kifo baada ya kupigwa na walimu saba kwa tuhuma za kumtongoza mwalimu wake.

Mtuhumiwa alipohojiwa akiwa hospitalini, alijitetea kuwa si yeye aliyetamka maneno hayo bali ni pacha wake.

Inaelezwa kuwa mwanafunzi na mwalimu huyo walikutana katika nyumba moja walimojihifadhi kukwepa mvua.....


Habari zaidi baadaye

Posted by Bigie on 12:29 PM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.