NICKI MINAJ AUMBUKA TENA BAADA YA MATITI YAKE KUJIANIKA HADHANI WAKATI AKIREKODI VIDEO YAKE MPYA


Nicki Minaj amekumbwa balaa jingine  baada  ya  matiti  yake  kuchomoka  nje wakati akirekodi video yake  mpya....


Maana halisi ya kuwa uchi  kwa mzungu  ni KUYAANIKA  MATITI  au  KUKAA  BILA  CHUPI....


Kwa tafsri  hiyo, mrembo huyo  amechafuka  tena  baada  ya  mwaka  jana  kukumbwa  na  balaa  kama  hilo......


Wachambuzi wa mambo  wanadi  kuwa Nicki Minaj alifanya  makusudi  ili  ainadi  video yake  mpya

Posted by Bigie on 1:30 PM. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.