TUMEPOTEZA UKURASA WETU WA FACEBOOK....TUNAWAOMBA WASOMAJI WETU WAJIUNGE UPYA ILI WAWEZE KUFURAHIA HABARI MOTOMOTO

 
Mpendwa  msomaji wetu, tunaomba  radhi  kwa  kutukosa  katika  ukurasa wetu wa facebook  ambao  uliingiliwa  na  watu  wasio  na nia  njema.

Tumelazimika  kufungua  ukurasa  mpya ili  kurahisisha  upatikanaji  wa habari zetu  kama  ilivyokuwa  hapo  awali....

Hata  hivyo, tunapenda  kutoa  shukra  za  dhati  kwa  wasomaji  wetu  kwa  kutuwezesha  kushika  nafasi  ya  5   ya mitandao  bora  Tanzania.... 
Daily  pageview...
 
Tunakuomba  u LIKE  tena  ili  ujumuike  nasi.

BOFYA  HAPO  CHINI  ILI  UJIUNGE  NASI.




<<  MPEKUZI- FACEBOOK>> 



** KUJIUNGA  NI  RAHISI, ANGALIA  PALIPOANDIKWA    "LIKE"

** UKIPAONA, PABOFYE  MARA  MOJA  NA  UTAKUWA  UMEJIUNGA....

Posted by Bigie on 4:47 PM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.