Wema Sepetu afunguka na kudai kwamba yeye hampendi DIAMOND bali anapenda PESA zake.
habari za kitaifa 1:10 AM
Baada ya wadau na mashabiki wake kuubariki uhusiano wake na Diamond huku wakimponda Penny na kudai amezeeka na kwamba hamfai Diamond, mrembo huyo ameamua kuwajibu mashabiki hao kwa lugha ya fumbo la picha.
Jana mrembo huyo alitupia picha mtandaoni kuonyesha msimamo wa fikra zake juu ya penzi la Diamond.
Kwa mujibu wa picha hiyo,anachokitaka Wema Sepetu toka kwa Diamond ni PESA na siyo ndoa au mapenzi ya dhati kama mashabiki wake wanavyodhani.
===Mke mwema hutoka kwa Mungu na mume mwema hutoka Benki====
Posted by Bigie
on 1:10 AM.
Filed under
habari za kitaifa
.
You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0