VIDEO: Tako "feki" la Nicki Minaj lahama wakati anaperform !!!
udaku 5:35 AM
Tokea nicki minaj aanze kujulikana kwenye tasnia hii ya muziki , ni wazi kwamba minaj anamtindo wa kufanya plastic surgery kwenye mwili wake kama hauamini jaribu ku-google picha zake za zamani.
Taarifa ni kwamba Nicki Minaj anasumbuliwa na maumivu kwenye tako lake
baada ya tako hilo kuhama upande wakati akiperform kwenye Fashion Rocks
siku ya jumanne usiku. Mtandao wa MediaTakeOut umeripoti..
Taarifa zinasema Minaj alijiumiza wakati akijaribu kujibinua. Watu walisikia kelele kwa wakati huo na wengi wao walizani limepasuka sababu tako hilo ni feki.
Tazama video
Taarifa zinasema Minaj alijiumiza wakati akijaribu kujibinua. Watu walisikia kelele kwa wakati huo na wengi wao walizani limepasuka sababu tako hilo ni feki.
Tazama video