Wadada Tuweni Makini Sana na Vyumba vya Kujaribia Nguo Madukani, Huyu Alipigwa Picha Bila Kujua Akijaribu Nguo


Wadada tuweni Makini Sana na Vyumba vya Kujaribia Nguo Madukani, Huyu alipigwa Picha bila kujua akijaribu nguo dukani .
 
Tumepewa siri kuwa huwa kuna kamera za siri zinafichwa kwenye  baadhi ya Maduka yenye tabia mbaya na kuchukua picha kwa siri..Kuweni Makini Wakina Dada 

Posted by Bigie on 5:43 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.