Ja Rule Begins Serving Prison Sentence

Ja Rule kaanza kifungo chake cha kosa la kukamwatwa na siraha kinyume cha sheria siku ya jana, Jamaa atakuwa jela kwa mda wa miezi 18 hadi 20, kitu cha kama mwaka mmoja na nusu hiviiiiii. Ndani ya huo mwaka mmoja na nusu ataachia album zake mbili mpya ambazo kamaliza kuzifanya juzi siku moja kabla ya kwenda jela.

Wakati anatoka mahakamani siku ya jana huku kafungwa pingu, tayari kwa safari ya kwenda jela, ndugu na marafiki zake waliojitokeza  kusupport walilia sana pale alipo waaga akiwaambia kuwa “Tutaonana”…

Posted by Bigie on 10:56 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.