M-NET BIG BROTHER AMPLIFIED: SIKU YA 35 JUMAPILI JUNI 5, 2011
M-NET BIG BROTHER 10:45 AM

JUMAPILI ya Juni 5 ambayo ilikuwa siku ya 35 ya M-Net BIG BROTHER AMPLIFIED ambapo washiriki Bhoke kutoka Tanzania na Ernest kutoka nchini Uganda waliaga mashindano. Washiriki hao walisindikizwa na burudani kutoka kundi la Radio and Weasel, na msanii …





