10:41 AM

SERIKALI imetangaza Bajeti kwa 2011/2012 ya Sh 13.5 trilioni ambayo imetaja mambo manne ya msingi ya kupunguza makali ya maisha, lakini kama kawaida ikipandisha bei ya vinywaji baridi, bia na pombe kali huku ikitenga asilimia 14 ya bajeti yote kulipa Deni la Taifa.....






