ALIYEKUWA KIGOGO WA BENK KUU BWANA LIYUMBA AACHIWA HURU BAADA YA KUTUMIKIA KIFUNGO CHAKE CHA MIAKA MIWILI




Aliyekuwa bosi wa Benki Kuu ya Tanzania 'BOT', Amatus Liyumba ameachiwa huru jana majira ya saa 4: 45 asubuhi, baada ya kukamilisha kifungo chake cha miaka miwili alichokuwa akikitumikia  katika Gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam akidaiwa kutumia vibaya mali ya Umma juu ya ujenzi wa magorofa pacha ya Benki hiyo yaliyopo Posta jijini, Dar. Kuhusu kesi yake ya kukutwa na simu, imetupwa kapuni.

Posted by Bigie on 5:48 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.