AUDIO TRCK: LET ME KNOW-MIKE TEE
SONGS 3:32 AM
Ukirudisha kalenda yako(japo katika mawazo tu) miaka kadhaa nyuma, katika uwanja mpana wa Bongo Fleva utamkuta Mike Tee (jina kamili Mike Mwakatundu)…siku hizi anajulikana pia kwa jina Daddy.Ni miongoni mwa wasanii wa muziki wa kizazi kipya ambaye alitamba enzi zile na nyimbo kama vile Ningekuwa Star kabla hajajikita zaidi katika utayarishaji(production) akiwa na studio yake ya MyKey Records pale Mji Kasoro Bahari.
Sasa baada ya miaka kadhaa ya kuibua vipaji vya wengine,Mike T anarudi kwenye game na wimbo Let Me Know.Hii ni production kutoka B-Hitz Studio na MyKeY Records.Icheck track hii
CREDITS;
SINGLE: MIKE TEE – LET ME KNOW (TANZANIA)
PRODUCED BY: PANCHO LATINO
COMPOSED BY: MIKE TEE
STUDIO: B-HITZ / MYKEY RECORDS
SOUND ENGINEER BY: PANCHO
VIDEO BY: SHOWBIZ VIDEOZ MEDIA CO.
Genre: Bongo Flava & Rap






