KATIKA MAISHA YANGU PESA NDO KILA KITU MAANA NDO KITU KILICHONITOA MOSHI KUNILETA DAR-ASEMA WOLPER
JAMII 11:09 PM
Jackline Wolper ambaye ni msanii wa filamu nchini amefunguka na kudai kuwa kilichomtoa Moshi kuja Dar ni kutafuta maisha. Mrembo huyu aliweka wazi kuwa kazi kwake ni moja tu, kusaka maisha na si vinginevyo. Hata hivyo msanii huyu kwasasa amesema kuwa yuko kwenye mchakato wa kutoka na filamu mpya mabayo itakuwa kali zaidi ya zote






