MATONYA YUPO KATIKA HATUA ZA MWISHO ZA MAANDALIZI YA VIDEO YAKE MPYA YA "MPERA MPERA"
JAMII 9:57 PM
Baada ya kimya cha muda mrefu Mkali wa miondoko ya Bongo Flava anayejulikana kama Matonya hivi sasa yupo kwenye maandalizi ya Video ya wimbo wake mpya utakaokwenda kwa jina ”Mpera Mpera”. Utengenezaji wa video unafanyika Kallage Pictures chini ya Kallage.
MORE PICS










