MKAPA ARUDI IGUNGA KUFUNGA KAMPENI ZA UCHAGUZI-CCM
JAMII 9:28 PM
Mwenyekiti mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Benjamin Mkapa jana jion alifika mjini Igunga kwa ajili ya kufunga kampeni za CCM kesho kwenye Viwanja vya Sokoni, Kata ya Nkinga. Pichani, Mkapa akiwasili kwenye hotel ya Peak mjini Igunga jana jioni..







