MREMBO WA KIMATAIFA, EVE E AWASILI JIJINI NAIROBI KUUNGANA NA AKINA SHAGGY NA SNOOP KATIKA COCERT LA KESHO
JAMII 6:47 AM
Mwanamuziki Eve E akiwasili kwenye hotel ya Kimataifa,Serena Hotel asubuhi hii .
Mwanamuziki wa Kimataifa kutoka nchini Marekani Eve E akiwasili mapema leo asubuhi kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta,jijini Nairobi,Kenya akiwa amepokelewa na mwenyeji wake kutoka kampuni ya Prime Time Promotions Ltd kutoka Tanzania,Bwana Balozi Kindamba (shoto) na kulia ni mmoja wa wanausalama wa Eve E.
Mwanamuziki huyo anaungana na wanamuziki wengine akiwemo Shaggy,Cabo Snoop pamoja na nyota wa Tusker All Stars Peter Msechu, Davis pamoja na Alpha wanaotarajiwa kutumbuiza kwenye jukwaa moja hapo kesho (jumamosi) kwenye viwanja vya Carnival jijini Nairobi ndani ya tamasha la Tusker All Stars 2011.







