NAMSHUKURU MUNGU KWA KUNIJALIA KILA KITU AMBACHO MWANAMKE ANAHITAJI KUWA NAVYO-- LULU MATHIAS
JAMII 4:03 AM
Hivi ndivyo MREMBO huyu wa kitanzania alivyoamua kuianza weekend yake kwa furaha kabisa
Lulu ni model toka jijini Dar es Salaam ambaye anamshukuru mungu kwa kumjalia kila kitu ambacho mwanamke yeyote angependa awe nacho.
Ili kuhakikisha kuwa hapotezi HAIBA yake,LULU hutenga muda maalum kwa aili ya mapumziko na mazoezi madogo madogo ili kuendelea kuujenga na kuuimarisha mwili wake
ASANTE sana LULU kwa kuwa nasi katika blog hii.Tunashukuru pia kuufahamisha juu ya Wekeend yako.Tunaamini pia hata wasomaji wengine wataendelea kutupasha juu ya mapumziko yao yalivyo popote walipo.
MORE PICS








