PATHWAY OF THUNDER : NIGERIAN MOVIE PART 2 ( NI UCHAWI WA KUFA MTU)


NGUVU MBILI ZA GIZA ZIKIKUTANA,NINI HUTOKEA??   NINI HATIMA YA VITA YA WACHAWI WAWILI?
BWANA BEN MWENYE IMAN THABITI DHIDI YA MIUNGU YAKE ANAJIKUTA KATIKA KIJIJI CHA  WACHAI AMBACHO HUWATUMIA  AKINA DADA AMBAO NI  BIKRA KUTOA SADAKA KWA MIUNGU YAO.
BENI ANAJITOA MHANGA NA KUANZA HARAKATI ZA KUWAKOMBOA WATU WAHA. JE ALAFANIKIWA KUJINASUA MIKONONI MWA HAWA WACHAWI?????????
FUATILIA MOVIE HII  YA PATHWAY OF THUNDER ,SEHEM YA PILI UONE.

UKITAKA PART 1,BOFYA HAPA  <<PART 1 >>

Posted by Bigie on 7:50 PM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.