CCM YAONGOZA KATIKA UCHAGUZI MDOGO WA UDIWANI WA KATA YA MAJENGO MKOANI MBEYA
JAMII 8:35 PM
Chama cha mapinduzi (CCM) kimeendelea kufanya vema katika uchaguzi mdogo wa udiwani baada ya matokeo ya awali katika kata ya Majengo jimbo la Mbeya mjini CCM kuongoza katika vitu vingi zaidi ukilinganisha na Chadema japo hadi sasa matokeo rasmi bado ila dalili za CCM kushinda kata ya majengo ni kubwa huku kata moja kati ya kata hizo mbili matokeo bado na inaelezwa kuwa Chadema inaweza kushinda






