CCM YAITESA CHADEMA:: YAONGOZA KWA KISHINDO KATIKA KATA YA MJI MWEMA HUKO NJOMBE
JAMII 8:33 PM
Matokeo ya uchaguzi mdogo kata ya Mji mwema katika jimbo la Njombe kusini linaloongozwa na spika wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe.Anne Makinda yamempa ushindi mgombea wa CCM Jimy Ngumbuka ambaye kamgalagaza vibaya mgombea wa Chadema aliyekuwa na matumaini makubwa ya ushindi.






