CLUB YA SIMBA YAKABIDHI ZAWADI KWA MSHINDI WA BAHATI NASIBU YA SIMBA SMS FUN CLUB
JAMII 10:15 AM
Mwenyekiti wa klabu ya Simba, Ismail Aden Rage, akikabidhi pikipiki kwa mshindi wa bahati nasibu ya Simba SMS Fun Club inayoendeshwa na kampuni ya Push Mobile, Bertman Hoza katika hafla iliyofanyika mchana huu katika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) jijini Dar es Salaam.
Mshindi wa sh. 50 000 akipokea zawadi yake.







