DIDDY AKABILIWA NA KESI YA MAUAJI YA TUPAC SHAKUR


  Tangu Miaka 15 baada ya kifo cha West Coast rapper Tupac Shakur,Mpelelezi wa zamani wa LAPD,Greg Kading amemtaja Sean 'diddy' Combs kwenye kitabu chake cha Murder Rap,kuwa alihusika na alifadhili mauaji ya Rapper Tupac Shakur .
Kitabu cha mpelelezi huyo kimetoka mitaani leo Oct 4,2011 na amekusanya ushahidi wa kutosha toka kwenye kaseti na kumbukumbu toka kwa watu muhimu waliohojiwa kuhusiana na mauaji ya 2Pac Shakur na Biggie Smalls.
 
Kwa mujibu wa vielelezo alivyokusanya,ushahidi unambana Sean "Puffy" Combs Diddy kuhusiana na kifo cha Tupac Shakur na kua alitoa mkwanja wa dola milioni 1 kwa ajili ya utekelezaji wa mauaji hayoikiwa ni kulipa kisasi cha rafiki yake baada ya kutendwa na Tupac kwa faith Evance.

Posted by Bigie on 10:29 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.