HUYU NDIYE MPIGA NONDO NA JAMBAZI SUGU ANAYESAKWA NA JESHI LA POLISI MKOANI IRINGA


Huyu ndiye Msafiri Ilomo mmiliki wa mtandao wa ujambazi ambaye anatafutwa na jeshi la polisi mkoa wa Iringa.


Ilomo ndie mmiliki wa nyumba iliyokutwa na mali za wizi eneo la Kigomboni mjini Iringa leo ,na ndie anayedaiwa kumiliki kundi la wapiga nondo mjini Iringa

Kwa yeyote mwenye taarifa atoe taarifa kwa jeshi la polisi


KWA TAARIFA ZAIDI   << BOFYA HAPA >>

Posted by Bigie on 6:52 PM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.