WAZIRI MKUU PINDA AKUTANA NA MAKAM WA RAIS WA BRAZIL
JAMII 11:32 PM
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Makamu wa Rais wa Brazil, Michael Temer kabla ya mazungumzo yao, kwenye Ofisi yake , Brasilia akiwa katika ziara ya kakazi nchini Brazili October 10,2011.(Picha na OFisi ya Waziri Mkuu)






