JINSI YA KUFLASH VODAFONE ZTE K3570 PAMOJA NA SOFTWARE BURE
JAMII 4:11 PM
WAPENZI WASOMAJI WANGU.NANAYO FURAHA YA KUPATA NGUVU YA KUANDIKA TENA KIPANDE HIKI CHENYE MAELEZO JUU YA NAMNA YA KUFLASH MODEM ZA VODAFONE AINA YA " VODAFONE K3570"
NAAMINI NI WENGI MLIFURAHIA ILE MAADA YA MWANZO YA KUFLASH HUAWEI E153.WALIONIPA EMAIL ZA UKWELI,NILIWASAIDIA KUWATUMIA... KAMA HUJAPATA,BASI TUENDELEE KUWASILIANA.
ZIFUATAZO NI HATUA ZA MSINGI ZA KUIFANYA MODEM YA ZTE K3570 ITUMIE LINE ZOTE.
1.HAPO CHINI NIMEWEKA HIYO SOFTWARE.UTAI DOWNLOAD
2.UKISHAIPATA,BASI "INSTALL" KWENYE COMPUTER YAKO.,ITAONESHA KAMA IFUATAVYO.
3. IKIMALIZA BASI IFUNGUE HIYO SOFTWARE NA INGIZA PROFILE MPYA.ITAONEKANA HIVI.UNAPOIFUNGUA HII SOFTWARE HAKIKISHA KUWA HIYO MODEM UMESHA ICHOMEKA KWENYE KOMPUTER YAKO.
4.BAADA YA MAELEZO HAYO,BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD HIYO SOFTWARE
ANGALIZO:: NAOMBA UWE MVUMILIVU.UTATAKIWA KUSUBIRI KWA MUDA WA DAKIKA 8.6 SAWA NA SEKUNDE 520
KAMA KUNA TATIZO,NIANDIKIE MAONI YAKO HAPO CHINI
BREAKING NEEEEEEEEEEWZ
>>>>>>> JINSI YA KUFLASH HUAWEI E153. <<BOFYA HAPA>>








