MAADHIMISHO YA WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI YAZINDULIWA MJINI BUKOBA
JAMII 7:03 AM
Maandamano ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani Tarehe 3-10-2011 mpaka 8-10-2011 kitaifa yazinduliwa Mjini Bukoba
Viunga Katikati ya mji wa Bukoba maandamano yalikatiza kuelekea viwanja vya Ghemkana
Wadau Mbalimbali,wawakilishi wa vikundi kadha wa kadha, na mashirika yasiyo ya Kiserikali pamoja na wanafunzi
Barabara ya Samwel Luangisa kuelekea kati ya viunga vya NBC Bank kuelekea Manispaa wengi usema (kuelekea Kaitaba).