MWIZI AJISALIMISHA BENKI "BAADA YA KUCHEZEA KICHAPO KITAKATIFU"
JAMII 6:57 AM
Mtuhumiwa wa wizi akipelekwa korokoroni baada ya kujisalimisha katika benki ya Azania Mtaa wa Samora leo baada ya kumwibia mzungu mkoba wake na kuchezea kipigo kutoka kwa wananchi
Askari wa kampuni binfasi akidhibiti umati uliokuwa ukimuandama jamaa huyo
Maofisa wa benki ya Azania wakihangaika kuwazuia watu wasiingie ndani ya benki hiyo kumchapa mwizi
Akidandia gari mwenyewe
Wananchi walipostukia kuwa anatoroshwa walimfuata hukohuko na kukuta akiondolewa na gari la Polisi kwa mlango wa uani






