MATOKEO IGUNGA: DR. KAFUMU WA CCM AKABIDHIWA CHETI CHA USHINDI



 Katibu Mkuu wa CCM,Wilson Mukama akimshika Dk. Dalaly  Kafumu wakati matokeo takitangazwa.
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Igunga,Protace Magayane akitangaza matokeo
 Dk. kafumu akipongezwa na mke wake, Maria Magdalena Kafumu. Huku shangwe na Nderemo zikitawala toka kwa wapenzi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi.
 Dk. Kafumu akibebwa baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa Ubunge jimbo la Igunga
 Msimamizi wa uchaguzi Protace Magayane akimpongeza Dk. Dalaly Kafumu baada ya kumtangaza na kumkabidhi cheti cha ushindi wa ubunge wa Jimbo hilo.
 Dk Kafumu akionyesha cheti chake cha ushindi
 Baadhi ya viongozi wa CCM wakishangilia baada ya Dk. Kafumu kutangazwa mshindi. Watatu ni Katibu wa NEC Oganaizesheni, Asha Abdallah Juma
Dk. Dalaly akisaini matokeo.Kushoto ni Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Igunga,Protace Magayane.

Posted by Bigie on 8:58 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.