MKURUGENZI WA MSAMA PROMOTION APEWA TUZO NA WAIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI


Mlezi wa Chama cha Wanamuziki wa nyimbo za Injili, Martha Mlata (kushoto)  ambaye  pia Mbunge wa viti maalum mkoa wa Singida akimkabidhi  tuzo Mkurugenzi  wa  Msama  Promotions,  Alex Msama  kutokana na kutambua mchango wake katika  kupambana  na  wezi  wa  kazi  za  wasanii.  Wengine  katika  picha  ni  wasanii  wa  nyimbo  za  injili.
Wasanii wa nyimbo za injili wakiimba wimbo maalum wa kutimiza miaka 50 ya Uhuru baada ya kumkabidhi tuzo Mkurugenzi wa Msama Promotions
 

Posted by Bigie on 5:56 PM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.