MREMBO ( ISABELA A.K.A VAI WA UKWELI ) AVUA NGUO ZOTE BAADA YA KUFAKAMIA POMBE ZA BURE

        Isabela "Vai wa Ukweli" akiwa chakali kwa mitungi.

        Nguo zilikuwa nzito akaona bora apunguze uzito

   Msanii anayechipukia katika tasnia ya kuigiza Isabela a.k.a "vai wa ukweli" alijikuta akiuza utu baada ya kufakamia pombe za buree toka kwa maswaiba wake wa karibu jijini Dar,Mashuhuda wa tukio hilo wanadai alichanganya vileo.
     Tukio hili lilitokea jana usiku ikiwa ndo weekend imeanza ambapo muigiza huyu alijikuta anazidisha kunywa zaidi ya uwezo wa kichwa ndipo alipojikuta anavua  nguo bila kujua kwani alikuwa "chakali full pombe",Baada ya muda kadhaa maswaiba wake walimpeleka kwao angali yuko taabani.
    Isabela ameigiza filamu na mastaa kibao ambapo kati ya movie saba alizocheza zinatarajiwa kutoka hivi karibuni  ni kama vile  Good fellow,2 eyes,Black Wear,Doa la maishaMen day out na nyingine nyingi very soon.
    Vai wa ukweli ndiye mpinzani wa Lulu katika matukio kama haya ikiwa wako tasnia moja na umri wao sawa ama kweli Lulu kapata mpinzani Isabela ni zaidi ya Lulu sasa.

Posted by Bigie on 6:41 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.