SHEAR CHARITY BALL YANG'AA USIKU HUU


 Mkurugenzi wa Kampuni ya Shear Illusions na Mwenyekiti Kamati ya Maandalizi Shear Charity Ball,Shekha Nasser akizungumza wakati wa tafrija ya kuchangisha fedha za hisani ya (Shear Charity Ball 2011) yenye lengo ya kutunisha mfuko na kusaidia akina mama wenye matatizo ya fistula katika hospitali ya CCBRT na pia kuwezesha ukarabati wa mfumo mzima wa maji safi na maji taka katika hospitali ya Amana.hafla hii imefanyika usiku huu katika hoteli ya Movenpic,jijini Dar es Salaam.
Mgeni Rasmi katika  tafrija ya kuchangisha fedha za hisani ya (Shear Charity Ball 2011) yenye lengo ya kutunisha mfuko na kusaidia akina mama wenye matatizo ya fistula katika hospitali ya CCBRT na pia kuwezesha ukarabati wa mfumo mzima wa maji safi na maji taka katika hospitali ya Amana,Dr. Hellen Senkoro akizungumza katika tafrija hiyo usiku huu.
 Ofisa Mtendaji Mkuu wa Hospitali ya CCBRT,Erwin Telemans akizungumza katika hafla hiyo.
Meneja Mawasiliano wa Tume ya Mawasiliano Nchini ambaye pia alikuwa ni mmoja wa wanakati waliofanikisha tafrija hii,Innocent Mungy akizungumza katika tafrija hiyo usiku huu.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya SBL,Richard Wells akizungumza katika hafla hiyo.

Posted by Bigie on 3:26 PM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.