VIONGOZI WA CCM KATA YA ISANGA JIJINI MBEYA WAJIUZULU BAADA YA KUFIKISHWA MAHAKAMANI NA KUTOZWA SH.80,000


 Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Kata ya Isanga jijini Mbeya Bwana Tenson Mtafya akionesha kadi ya uanachana ambapo alichukua fursa ya kujiuzulu na kukitaka chama hicho, kuwaondoa watendaji wabovu katika kata hiyo na kupinga vikali tuhuma zilizoelekezwa kwake pamoja na Mwenyekiti wa chama hicho kuwa walihusika  kumdhalilisha mwenyekiti wa mtaa wa Igoma "A" Bwana Juma Kahawa hali iliyopelekea Bwana Kahawa kuwafikisha mahakamani na kutonzwa faini ya shilingi elfu 80  na bila kupewa stakabadhi ya malipo hayo mahakamani
Wajumbe wa kamati ya siasa ya Chama Cha Mapinduzi Kata ya Isanga jijini Mbeya ambao wamejiuzulu baada ya Viongozi wa Chama chao Mwenyekiti na Katibu wao kufikishwa mahakamani na kuwekwa mahabusu kwa muda wa masaa matano.

Posted by Bigie on 9:02 PM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.