WANANCHI WA RUVUMA WAMPOKEA MKUU MPYA WA MKOA HUO


 Mkuu mpya wa mkoa wa Ruvuma Mh Said Thabit Mwambungu akisalimiana na watumishi wa ofisi yake mara baada ya kuwasili kwa mara ya kwanza kuanza kazi ya kuongoza mkoa huo.Kulia kwake ni Kaimu Katibu Tawala Mkoa Dtk Anselm Tarimo.
 Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Said Thabit Mwambungu akisaini kitabu cha wageni katika ofisi yake mpya mara baada ya kuripoti kuanza kazi ya kuongoza shughuli za serikali mkoani Ruvuma.Kushoto ni aliyekuwa mkuu wa mkoa huo Dkt Christine Gabriel Ishengoma ambaye sasa ameahamia mkoa wa Iringa.
Mkuu wa mkoa wa Ruvuma  Said Thabit  Mwambungu akipokea hati ya makabidhiano ya ofisi kutoka kwa aliyekuwa mkuu wa mkoa huo Dkt Christine Gabriel Ishengoma tukio hilo limefanyika  na kushuhudiwa na wakuu wa sehemu na vitengo mbalimbali mkoani humo

Posted by Bigie on 1:18 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.