BIFU LA WEMA SEPETU NA IRENE UWOYA "LAANZA UPYA"


 Wema na Uwoya hapatoshi....... Wasanii hawa  ambao siku za hivi karibuni walimaliza BIFU lao kwenye sherehe ya kuzaliwa IRENE UWOYA, leo tena wako kwenye BIFU baya zaidi.
 
BIFU la wasanii hawa limekuja baada ya WEMA kutoa ushauri kwa UWOYA kuwa anatakiwa kumaliza bifu na kumsheshimu mume wake ili warudiane. 
 
Ushauri huu ulioneka  ni kichefuchefu kwa UWOYA, Habari zinasema kuwa UWOYA liweka wazi kuwa hawezi kushauriwa na mtu aliyeachika kwenye uchumba kwani hajui chochote kuhusu mambo ya ndoa. 
 
Aliongeza kwa kusema kuwa labda WEMA siku hizi amechanganyikiwa..... Naomba anikome kabisa.....

Posted by Bigie on 5:21 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.