DKT. SHEIN AZINDUA JUMUIYA YA KUZUIA, KUKINGA NA KUONDOSHA MAJANGA ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akionesha vitabu baada ya kuvizindua wakati wa uzinduzi wa Jumuiya ya kuzuia,kukinga na kuondosha Maafa na Majanga Zanzibar (DCPM) kwa njia ya Mtandao,katika ukumbi wa Zanzibar Grand Palace Hotel,Malindi Mjini Unguja jana.(kulia) ni Mkurugenzi Mtendaji wa Jumuiya hiyo Najima Murtadha Jiga,na (kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi Khamis.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na wanajumuiya na wananchi waliohudhuria katika uzinduzi wa Jumuiya ya kuzuia,kukinga na kuondosha Maafa na Majanga Zanzibar (DCPM) kwa njia ya Mtandao,katika ukumbi wa Zanzibar Grand Palace Hotel,Malindi Mjini Unguja jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akibonyeza Kompyuta kuashiria uzinduzi wa Jumuiya ya kuzuia,kukinga na kuondosha Maafa na Majanga Zanzibar (DCPM) kwa njia ya Mtandao,katika ukumbi wa Zanzibar Grand Palace Hotel,Malindi Mjini Unguja jana,(kulia) ni Mkurugenzi Mtendaji wa Jumuiya hiyo Najima Murtadha Jiga.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akipeana Mkono wa Shukurani na Mjumbe wa Bodi ya Jumuiya ya (DCPM) Hassan baada ya uzinduzi wa Jumuiya ya kuzuia,kukinga na kuondosha Maafa na Majanga Zanzibar kwa njia ya Mtandao,katika ukumbi wa Zanzibar Grand Palace Hotel,Malindi Mjini Unguja jana.
Baadhi ya wadau mbali mbali na wanajumuiya,pamoja na wananchi walioalikwa katika uzinduzi wa uzinduzi wa Jumuiya ya kuzuia,kukinga na kuondosha Maafa na Majanga Zanzibar (DCPM) kwa njia ya Mtandao,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza baada ya kuizindua jumuiya hiyo,katika ukumbi wa Zanzibar Grand Palace Hotel,Malindi Mjini Unguja jana.

Posted by Bigie on 1:43 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.