DR, KIKWETE AWASILI MJINI ADDIS ABABA KUHUDHURIA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI WA UMOJA WA AFRIKA
JAMII 1:46 AM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika Makao Makuu ya Umoja wa Africa leo mjini Addis Ababa,Ethiopia.Kulia kwake ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Mhe. bernard Membe. Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika umeanza leo asubuhi mjini Addis Ababa.





