DR.KIKWETE AKUTANA ANA KWA ANA DR. WILBOARD SLAA WAKATI WA MAZUNGUMZO YA MCHAKATO WA KATIBA(JUMAMOSI USIKU )

Rais Kikwete akiagana na Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa baada ya muendelezo wa  mazungumzo ya mchakato wa katiba Ikulu jijini Dar, jana usiku.
Rais Kikwete akifurahia jambo na Dk Slaa wakati wakiagana baada ya muendelezo wa mazungumzo ya mchakato wa katiba Ikulu jijini Dar, jana usiku.
Rais Kikwete akiagana na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe baada ya muendelezo wa mazungumzo ya mchakato wa katiba Ikulu jijini Dar, jana usiku.
Rais Kikwete akifafanua jambo mbele ya uongozi wa Chadema wakati wa mazungumzo hayo jana usiku Ikulu jijini Dar.
Dk. Slaa akifafanua jambo kwa Rais Kikwete wakati wa muendelezo wa mazungumzo ya mchakato wa katiba Ikulu jijini Dar jana.
...Mazungumzo yakiendelea.

Posted by Bigie on 6:00 PM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.