MISS GLADYS SHAO NI MTANZANIA ANAYEOMBA KURA YAKO KATIKA KINYANGA'ANYIRO CHA MISS UNITED STATES INTERNATIONAL UNIVERSITIES


Anaitwa Miss Gladys Shao mtanzania anayewakilisha chuo chake anachosomea kwa sasa Kenya. Gladys ni mshindi wa Miss United States International University
(USIU) mwaka 2010/2011 ila kwa sasa anagombea taji hilo tena na anahitaji kura zenu za kutosha kutoka nyumbani TZ. 
 
Jinsi ya kumpigia kura unatakiwa uingie katika website maalumu iliyowekwa kwaajili ya kupiga kura hizo.
 
Ukiingia kwenye website hii http://www.pambazuka.co.ke/ pembeni upande wa kulia kuna sehemu imesema Vote Now, hivyo  utachagua jina la Gladys Shao nakumpa kura yako. Mwisho wakupiga kura ni tarehe 20 mwezi huu so haujachelewa

Posted by Bigie on 2:09 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.