MZEE KIPARA AFARIKI DUNIA



HABARI ZA KUAMINIKA NA KUSIKITISHA ZILIZOUFIKIA MTANDAO HUU ASUBUHI HII,ZINAELEZA KUWA MUIGIZAJI WA SIKU NYINGI WA SANAA YA MAIGIZO,MZEE FUNDI SAID MAARUFU KWA JINA LA MZEE KIPARA (PICHANI),AMEFARIKI DUNIA MAPEMA LEO ASUBUHI.

MZEE KIPARA AMBAYE ALIKUWA AKISUMBULIWA NA MARADHI KWA KIPINDI KIREFU AMEFIKWA NA MAUTI HAYO LEO MAENEO YA KIGOGO ALIKOKUWA AKIISHI.

MTANDAO HUU UMEPOKEA TAARIFA HIYO KWA MASIKITIKO MAKUBWA SANA NA INATOA POLE KWA NDUGU,JAMAA NA MARAFIKI WA KARIBU NA WAPENZI WOTE WA SANAA YA MAIGIZO NCHINI.

TUNAMUOMBEA KWA MUNGU AIWEKE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI.

AMEIN.

Posted by Bigie on 1:36 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.