RAIS MSTAAFU WA TANZANIA AREJEA TOKA AFRIKA YA KISINI AMBAKO ALIKWENDA KUHUDHURIA SHEREHE ZA MIAKA 100 YA ANC
JAMII 10:23 AM

Mwenyekiti Mstaafu wa CCM na Rais Mstaafu Mh. Benjamin Mkapa akilakiwa na Katibu Mkuu wa CCM, Mh. Wilson Mukama alipowasili leo Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, akitoka Afrika Kusini ambako alimuwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika maadhimisho ya miaka 100 ya chama cha ANC. Katikati ni Mama Anna Mkapa.





