ASKOFU CHENGULA AONGOZA MAANDAMANO YA JUMAPILI YA MATAWI JIJINI MBEYA
Posted by Bigie
JAMII
1:05 AM
 |
Askofu wa jimbo la mbeya Evaristo Chengula akiongaza maandamano ya jumapili ya matawi kuelekea kanisa la bikiramaria wa fatima yaani kanisa la hija jijini mbeya |
 |
Nako katikati ya jiji la mbeya maandamano ya jumapili ya matawi yanaendelea kuelekea kanisa la Mt. Anthon wa padua jijini mbeya |
 |
Kanisa la hija mwanjelwa |

Posted by Bigie
on 1:05 AM.
Filed under
JAMII
.
You can follow any responses to this entry through the
RSS 2.0