BI HARUSI AINGIA MITINI..... SHEREHE YAFANYUIKA BILA UWEPO WAKE!
JAMII 12:07 AM

Hii ndio Sehemu ambayo maharusi walitakiwa kukaa



Mwenyekiti wa kamati akiwa na wanakamati wenzake wasijue cha kufanya wakati wa sherehe hizo muda huu

Shampeni ikiwa ina elekea kufunguliwa pasipo na maharusi


Waalikwa katika Sherehe hizo wakiendelea kuburudika pasipo na maharusi

Msemaji wa Familia akitoa utambulisho

Mama mzazi wa bwana harusi akitambulishwa bila maharusi