Galileo Waendesha Semina ya Siku moja kwa mawakala wa kuuza tiketi za ndege leo jijini Dar

Meneja Mauzo wa Kampuni ya Ndege ya Emirates Tanzania,Lyidia Kibonde akitoa ufafanuzi wa namna ya kutumia huduma ya Smart Point inayotolewa na Kampuni ya Galileo By Travelport kwa Mawakala wa kuuza tiketi za Ndege nchini wakati wa semina ya siku moja iliyofanyika leo kwenye ukumbi wa Lemmon Tree,Hoteli ya JB Belmont Jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Mkuu wa Kitengo Mafunzo wa Galileo By Travelport,Robert Maina.
Ofisa Mipango wa Kampuni ya Galileo By Travelport,Rehema Issa akielekeza jambo kwa Mawakala wa kuuza tiketi za Ndege nchini wakati wa semina ya siku moja iliyofanyika leo kwenye ukumbi wa Lemmon Tree,Hoteli ya JB Belmont Jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Kitengo Mafunzo wa Galileo By Travelport,Robert Maina akitoa mafunzo kwa Mawakala wa kuuza tiketi za Ndege nchini wakati wa semina ya siku moja iliyofanyika leo kwenye ukumbi wa Lemmon Tree,Hoteli ya JB Belmont Jijini Dar es Salaam.
Muendeshaji wa Semina hii alikuwa ni Dada Khadija Kellow wa Galileo By Travelport.

Posted by Bigie on 7:35 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.