HUYU NDIYE MPENZI MPYA WA DIAMOND PLATNUMS

Baada ya kuumiza watu vichwa kwa muda mrefu hatimaye hiki ndicho alichokiandika DIAMOND kwenye BlackBerry Messenger

Kulikua na stori kibao mtaani kwamba DIAMOND PLATNUMS yuko kwenye uhusiano wa kimapenzi na mrembo JOKATE lakini bado ilikua haijathibitika, sasa hivi ndio kaamua kuweka wazi na habari ndo hiyooooooo. Tunawataki akila la heri wapendanao hawa.

Habari hii ni kwa hisani ya millardayo.com

Posted by Bigie on 6:29 PM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.