LULU MAHAKAMANI TENA LEO

 

Leo ni siku nyingine tena kwa msanii chipukizi wa kike nchini Tanzania Elizabeth Michael anayefahamika kwa jina la kisanii kama LULU kupandishwa kizimbani.

Wiki chache za nyuma alipandishwa mahakamani kusomewa mashitaka yake ya kumtuhumu kwa mauaji ya aliyekuwa mcheza filamu za kitanzania hayati Steven Kanumba.aliposomewa mashitaka yake siku ya mwisho hakutakiwa kujibu lolote na hakimu pale mahakamani na alirejeshwa rumande mpaka hii leo tarehe 23 anapoletwa tena mahakamani.

Tutakuletea baadae habari kamili juu ya nini kimeendelea mahakamani hapo.

Posted by Bigie on 11:35 PM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.