Moto wachoma nyumba na vibanda vya biashara lindi

 Fundi kutoka kikosi cha dharura cha Tanesco akikata ukeke katika nguzo kuthibiti madhara zaidi , baada ya  Nyumba moja iliyopo Manispaa ya Lindi jirani na stand kuu ya mabasi kuteketea kwa moto. 
 
Picha hizi zinaonyesha wananchi wakishangaa pasipo kuokoa mali zozote kutokana na moto huo ambao umeteketeza banda moja la fundi Kompyuta, Photo Studio, Saloon ya kunyoa nywele, Banda la kushonea nguo la fundi Mkenda na makazi ya watu.
 
 Moto huo ulianza kuwa majira ya saa 8 mchana.

Posted by Bigie on 11:11 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.