NAPE, MBATIA WATUA DENMARK KUSHIRIKI MKUTANO WA VYAMA VYA SIASA
JAMII 12:00 AM
Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi wa CCM,Nape Nnauye (wapili toka kushoto) na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi,James Mbatia wakipata picha ya pamoja na Watanzania wanaoishi Denmark walipohudhulia mkutano wa vyama vya siasa uliofanyika mjini humo
Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi wa CCM,Nape Nnauye (CCM) na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi,James Mbatia wakiwa kwenye mkutano wa Vyama vya siasa Njini Copenhagen, Denmark.





