Ndovu Special Malt yanogesha Marketers Night jijini Dar
JAMII 1:04 PM

Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt ambao ni wadhamini wa kuu wa hafla inayowakutanisha wadau wa Masoko,Pamela Kikuli akizungumza machahe kwenye hafla hiyo inayoendelea hivi sasa kwenye hoteli ya Hyatt Kilimanjaro,jijini Dar es Salaam.

Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt ambao ni wadhamini wa kuu wa hafla inayowakutanisha wadau wa Masoko,Pamela Kikuli (kulia) akipokea cheti kwa niaba ya wadau wa TBL ambao hawakuweza kuhudhulia kwenye hafla hiyo jioni hii kutoka kwa Dk. Walle Akinyemi wa Kampuni ya Power Talk.

Kiongozi wa hafla hiyo ya Wadau wa Masoko,Coach Phillip Kambe akifafanua jambo wakati wa hafla hiyo inayoendelea hivi sasa kwenye hoteli ya Hyatt Kilimanjaro,jijini Dar es Salaam.

Meneja wa bia ya Castle Lager,Kabula Nshimo na Meneja wa Kinywaji cha Redd's,Victoria Kimaro wakionyesha chupa ya bia ya Ndovu Special Malt ambayo imepata tuzo nyingine ya Monde hivi karibuni.





