Rais Wa Zanzibar Apiga Picha Kitambulisho Cha Mtanzania

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.
Ali Mohamed Shein,na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,wakiwa katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi kushiriki katika zoezi ya upigaji wa picha za vitambulisho vya Taifa,hapo jana sambamba  na utiaji saini fomu maalum na kuweka  alama za vidole,ikiwa ni utaratibu  wa ukamilishaji wa zoezi hilo,(aliyesimama) Mkurugenzi wa Vitambulisho vya Taifa Zanzibar Bw,Vuai Mussa Suleiman.  [Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.
Ali Mohamed Shein,(katikati)  akiweka  alama za vidole,baada ya kupiga picha za vitambulisho vya Taifa,sambamba utiaji saini fomu za ukamilishaji wa zoezi hilo,zoezi hilo lilifanyika jana katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja,(kushoto) Mkurugenzi wa Vitambulisho vya Taifa Zanzibar Bw,Vuai Mussa Suleiman,(kulia) Mathayo Msungu,NIDA.

Posted by Bigie on 10:40 PM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.