UPDATE; ZITTO KABWE ANAZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI MUDA HUU KUHUSU KUSUDIO LA KUMTOA WAZIRI MKUU


Zitto anazungumza na waandishi wa habari muda huu kuelezea kusudio la kukabidhi Hoja ya ‘vote of no condidence"’ kwa Spika kesho Jumatatu

Katika bandiko lake kwenye Facebook mchana huu, Mbunge wa Kigoma Kaskazini (CHADEMA) Mh Zitto Zubeir Kabwe amesema anakusudia kuzungumza na Waandishi wa Habari majira ya saa 9 alasiri katika viwanja vya Bunge, Dodoma.

Agenda kuu katika mkutano wake huo ni:
1)Kuutaarifu umma kwamba sahihi 70 zimekwsihapatikana
2)Kuutarifu umma kwamba Spika (Anne Makinda) atakabidhiwa HOJA (ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu) kesho Jumatatu
3) Kutoa ufafanuzi kuhusu sharti la siku 14 kabla ya siku ya hoja.

Posted by Bigie on 5:28 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.