VIMWANA WA MISS UKONGA WAJIFUA
Posted by Bigie
JAMII
4:26 PM
Baadhi ya warembo wanaoshiriki shindano la kumsaka Malikia wa Kitongoji cha Ukonga jijini Dar es Salaam wakiwa katiika picha ya pamoja wakati wakiendelea na mazoezi yao ya kujiandaa na shindano hilo. Shindano la Miss Ukonga linataraji kufanyika Mei 5,2012 katika ukumbi wa Wenge Garden-Ukonga Mombasa.
Baadhi ya warembo wanaoshiriki shindano la Miss Ukonga 2012 wakimsikiliza msanii nguli wa Filamu na Maigizo nchini, Single Mtambalike "Rich Rich" wakati alipokuwa akizungumza nao katika kambi yao ya mazoezi jijini Dar es Salaam.Shindano la Miss Ukonga linataraji kufanyika Mei 5,2012 katika ukumbi wa Wenge Garden-Ukonga Mombasa

Posted by Bigie
on 4:26 PM.
Filed under
JAMII
.
You can follow any responses to this entry through the
RSS 2.0